Friday 30 October 2015

RAISI KIKWETE AMPONGEZA MAGUFURI KWA KUIBUKA KUWA MSHINDI WA URAISI 2015

 Ayawi ayawi sasa yamekuwa lile jambo ambalo watanzania walikuwa wakililisubiri kwa muda mrefu sasa leo limetimia Nchi Tanzania imetengeneza Historia nyingine mara baada ya kupata Raisi mpya atakaye ongoza kwa miaka mitano ambaye  ni  Dk.John Pombe Magufuri kupitia chama tawala chama cha mapinduzi (CCM)
Raisi anaemaliza muda wake Dk.Kiwete ampongeza mteule mapema leo katika Ikulu jijin Dar es salaam


3
                       Raisi Kikwete na Mkewe mama salma akimpongeza Dk. Magufuri
20151029104052
          Dk.Jakaya Mrisho Kikwete (kulia)akimpongeza Dk.John Magufuri ikulu mapema leo


20151029104050





                                 DK.Magufuli na makamo wake Mh.Samia Suluhu


                                                                                                                                



 Nae waziri Mkuu wa zamani Kenya Raila Odinga amempongeza John Magufuli baada yake kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais Tanzania.
Aidha, amemshauri mgombea wa upinzani Edward Lowassa akubaliane na matokeo na kama ajalidhika afuate utaratibu na sio kuanzisha furugu




                                             Waziri mkuu wa zamani kenya Raila Odinga






































































No comments:

Post a Comment