Tuesday, 15 September 2015

MAAJABU; MARAISI WENYE UMRI MKUBWA ZAIDI BARANI AFRIKA




 Duniani kuna mambo mengi sana miongoni mwa mambo hayo uwa yanashangaza kusitajabisha na Kusisimua pia ,leo nimekusogezea list ya maraisi  10 barani afrika wenye umri mkubwa zaidi

rais

 1. Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ana miaka 91, ndiye Rais mzee kuliko wote, ameshinda urais kwa muhula wa saba

tuni
2. Beji Caid Essebsi-Ana miaka 88, amekua Rais wa Tunisia tangu Desemba 31 2014
biya
3. Rais Paul Biya wa Cameroon ana miaka 82, ameingia madarakani tangu mwaka 1982
alge
4. AbdelAziz Boeteflika ni Rais wa Algeria toka April 1999, ana miaka 78
gine
5. Rais wa Guinea Alpha Conde ana miaka 77, amekua madarakani tangu December 2010
da
6. Rais wa visiwa vya Sao Tome, Manuel Pinto da Costa ana miaka 77, aliingia madarakani tangu mwaka 2011

lib
7. Rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf ana miaka 76, aliingia madarakani tangu Januari 2006
muth
8. Rais wa Malawi, Peter Mutharika ana miaka 74, aliingia madarakani May 2014
ivoo
9. Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara  ana miaka 73, aliingia madarakani tangu mwaka 2011
zzzzz
10. Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ana miaka 73, aliingia madarakani tangu May 9, 2009

No comments:

Post a Comment