Operesheni ya kuondoa VIROBA yaendelea mapya yaibuka. tikisamedia March 08, 2017 Operesheni ya kuondoa pombe kali zilizofungwa katika vifungashio vya plastiki (viroba) inayoendelea nchi nzima imeibua wafanyabiashara w... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Sakata la Madawa ya kulevya lavuka mipaka,Fahamu yaliobainika katika jiji Mbeya tikisamedia February 18, 2017 Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako, operesheni na doria zenye tija katika maeneo mbalimbali ili kudhibiti uhalifu ... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu yamthibitisha Benjamin Sitta kuwa Meya wa Kinondoni. tikisamedia January 20, 2017 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemtambua Mh. Benjamin Sitta kuwa meya wa Kinondoni. Hukumu hiyo imetolewa leo baada ya mahakama kut... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Nyumba 50 za teketea kwa moto wamiliki wake wa kila Krismasi. tikisamedia December 27, 2016 MOTO mkubwa umezuka na kuteketeza nyumba zaidi ya 50 katika kisiwa cha Kasalazi kilichopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa mkoani... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Tume ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza Ratiba ya uchaguzi mdogo utakaofanyika Januari 22 Mwakani. tikisamedia December 07, 2016 Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza ratiba ya uchukuaji wa fomu za kujaza nafasi zilizo wazi ya Mbunge na Madiwani katika maeneo mbali... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
TFDA yatoa angalizo kwa wananchi kuhusu matumizi ya dawa hizi bandia zilizokamatwa. tikisamedia October 29, 2016 MADAWA bandia na yasiyo sahihi kwa matumizi ya binadamu yamekamatwa maeneo ya Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu Kusini baada ya kufanyika u... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Baada ya Rais Magufuli kuzindua ndege mbili hii leo, Zitto Kabwe afunguka haya kuhusu uzinduzi huo. tikisamedia September 28, 2016 Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameipongeza serikali kwa kununua ndege mbili na kuzizindua leo Sept... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Hivi ndivyo Rais Dkt. Magufuli Alivyomuapisha Balozi Dk. Dau Pamoja na Makatibu Tawala Wa Mikoa Mitatu hii leo. tikisamedia September 14, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 14 Septemba, 2016 amemuapisha Dkt. Ramadhani Kitwana Dau k... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Hivi ndivyo ilivyo kuwa wakati Waziri Mkuu anaongoza Wananchi Kuaga Miili ya Waliokufa Kwa Tetemeko Bukoba. tikisamedia September 12, 2016 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza maelfu ya wananchi wa Manispaa ya Bukoba mjini kuaaga miili ya watu 16 waliofariki kutokana na... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akabidhiwa mpango huu wa kuhamia Dodoma. tikisamedia August 11, 2016 MKOA wa Dodoma wakishirikiana na Mamlaka ya Ustawishaji wa Makao Makuu (CDA) wametekeleza agizo la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa la kuand... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Waziri Mkuu Mh.Majaliwa atoa kauli hii kuhusu ufisadi mkubwa uliobainika katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya. tikisamedia August 09, 2016 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwenda kufanya ukaguzi maalumu katika Halmas... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Serikali kudhibiti madereva wazembe barabarani kwa kutumia mfumo huu mpya. tikisamedia August 05, 2016 SERIKALI imeanza rasmi kutumia mfumo wa nukta katika leseni za udereva kwa kudhibiti madereva wazembe, wanaosababisha ajali za barabaran... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa apewa kibali cha kufanya Mkutano jimboni kwake kwa Masharti haya. tikisamedia August 03, 2016 Hatimaye Jeshi la Polisi limetoa kibali cha kufanya mkutano wa hadhara kwa Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa, lakini limewe... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Tanzania kuendelea kufanya kazi kwa karibu na nchi za AU. tikisamedia July 19, 2016 TANZANIA imeuhakikishia Umoja wa Afrika (AU) kwamba itaendelea kufanya kazi kwa karibu na nchi wanachama wa umoja huo, kujadili changamo... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Serikali kuja na mpango huu wa kusitisha kubadili Vyuo vya Ufundi kuwa Vyuo Vikuu. tikisamedia July 19, 2016 Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imejipanga kusitisha zoezi la kubadili Vyuo vya Ufundi kuwa Vyuo Vikuu kwa nia ya kuinua vi... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Hawa ndio vigogo 12 wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) watumbuliwa. tikisamedia July 19, 2016 BODI ya Wadhamini ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) imeagiza kusimamishwa kwa wakurugenzi sita, mameneja watano na mhandisi... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Rais Magufuli aibuka na ufisadi huu wa mabilioni ya fedha katika Jeshi la Polisi. tikisamedia July 19, 2016 Rais Magufuli amelitaka Jeshi la Polisi kujiepusha na vitendo vya rushwa ambavyo vilinafanya jeshi hilo kukosa heshima katika jamii huku... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Jeshi la Polisi latoa sababu hii ya kutaka kumkamata Maalim Seif. tikisamedia July 18, 2016 MKUU wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali, Ernest Mangu amefunguka kuhusu mambo juu ya utendaji wa jeshi hilo na kueleza kuwa wakati wo... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Rais Magufuli atoa kiasi hiki cha fedha kwa ajili ya kukarabati Mahakama. tikisamedia July 16, 2016 JAJI Mkuu, Mohamed Chande Othman amempongeza Rais John Magufuli kwa kutoa zaidi ya Sh bilioni 12.3 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Hii ndio taarifa kamili kuhusu sakata la utengenezaji wa nyaraka bandia za serikali. tikisamedia July 15, 2016 MPIGACHAPA Mkuu wa Serikali, Cassian Chibogoyo amekiri kuwepo kwa nyaraka bandia za serikali katika sekta mbalimbali, nyingi zikiwa za... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+