Friday, 20 January 2017

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu yamthibitisha Benjamin Sitta kuwa Meya wa Kinondoni.


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemtambua Mh. Benjamin Sitta kuwa meya wa Kinondoni. Hukumu hiyo imetolewa leo baada ya mahakama kutupilia mbali hoja za upande wa pili (Ukawa).

Kama mnakumbuka siku ya uchaguzi polisi waliwakamata baadhi ya viongozi na wajumbe wa UKAWA sambamba na ongezeko la wajumbe batili upande wa CCM akiweno Dr. Tulia.

Kesi hii ilifunguliwa dhidi ya Afisa Utawala wa Manispaa ya Kinondoni, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamini Samweli Sita ( aliyetangazwa kuwa Meya) na Manyama Mangaru ( aliyetangazwa kuwa Naibu Meya)

No comments:

Post a Comment