Dk magufuli enzi za ujana wake
Mgombea wa urais kupitia tiketi ya chama cha CCM
John Pombe Magufuli ndiye rais mteule wa taifa la Tanzania baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Jumapili october 25
Dk.John Pombe Magufuri
Akitoa
matokeo hayo mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania Jaji
Mstaafu Damian Lubuva amesema kuwa Magufuli, ambaye alikuwa
akisherehekea siku yake ya kuzaliwa leo, alijipatia kura 8,882,935 ikiwa
ni aslimia 58.46 huku mpinzani wake wa karibu Edward Lowassa wa chama
cha Chadema akijipatia kura 6,072,848 ikiwa ni asilimia 39.97 ya kura
zote. Dkt Magufuli alizaliwa Oktoba 29,1959Mgombea wa chama pinzani Edward Lowasa
Matokeo ya uchaguzi wa urais Tanzania 2015 | |||
---|---|---|---|
Jina | Chama | Kura | Asilimia |
Anna Mghwira | ACT | 98,763 | 0.65 |
Chifu Yemba | ADC | 66,049 | 0.43 |
John Magufuli | CCM | 8,882,935 | 58.46 |
Edward Lowassa | CHADEMA | 6,072,848 | 39.97 |
Hashim Spunda | CHAUMA | 49,256 | 0.32 |
Janken Kasambala | NRA | 8,028 | 0.05 |
Macmillan Lyimo | TLP | 8,198 | 0.05 |
Fahmi Dovutwa | UPDP |
No comments:
Post a Comment