Moto huo ulizuka katika ya kulipuliwa kwa fataki za kuukaribisha mwaka kwenye hoteli ya Address Downtown yenye ghorofa 63.
Watu waliokuwemo kwenye jumba hilo waliondolewa upesi.
Watu 16 hata hivyo wanaripotiwa walijeruhiwa
Wazima moto walijaribu usiku kucha kuzima moto lakini kufikia asubuhi moshi ulikuwa bado unafuka.
Kulipuliwa kwa fataki katika jumba la Burg Khalifa, jengo refu zaidi duniani, uliendelea kama ilivyopangwa, mita mia kadha kutoka eneo la tukio.
Mmoja wa majeruhi katika hatari hiyo
No comments:
Post a Comment