Michuano ya Kombe la Klabu Bingwa barani Ulaya UEFA hatua ya nusu fainali imeendelea imeendela leo ambapo mchezo mmoja ulipigwa kati ya Atletico Madrid na Bayern Munich.
Ambapo Atletico Madrid ameibuka kidedea kwa kuweza kumzidi ujanja vijana wa Pep Guardiola Bayern Munich na kufanikiwa kumpiga goli moja katika dakika ya 11 goli lililofungwa na saul katika mchezo huo uliopigwa katika dimba la Vicente Calderón.
Timu hizo zitarudiana tena wiki ijayo ikiwa ni mchezo wa mwisho kuweza kumpata mshindi atakayecheza hatua ya fainali ya michuano.

Atletico Madrid (4-4-2):
Oblak 7; Juanfran 7, Gimenez 7, Savic 7, Luis 6.5; Saul 8 (Teye
85mins), Gabi 7.5, Fernandez 7, Koke 6.5; Griezmann 6.5, Torres 7.
Unused subs: Correa, Gamez, Hernandez, Kranevitter, Moya, Vietto.
Booked: Saul.
Goal: Saul 11.
Manager: Diego Simeone 8.
Kikosi cha Bayern Munich
(4-1-4-1):
Neuer 6; Lahm 6, Martinez 6, Alaba 5.5, Bernat 5.5 (Benatia 77); Alonso
6; Costa 6.5, Alcantara 5 (Muller 70, 6), Vidal 6.5, Coman 6 (Ribery
64, 6); Lewandowski 6.
Unused subs: Gotze, Kimmich, Tasci, Ulreich.
Booked: Costa, Benatia, Neuer.
Manager: Pep Guardiola 6.
Referee: Mark Clattenburg 7.
Straika wa bayern Robert Lewandowski akisumbuana na Jose Gimenez na Gabi wa Atletico |
No comments:
Post a Comment