Real madrid imefanikiwa kutwaa kombe ya la Uefa champion ligi kwa mara ya pili mfululizo kwa kufanikiwa kuwafunga Atletico madrid kupitia penati 5 kwa 4 mara baada ya kutoka suluhu ya 1-1 katika dakika 120
Goli la Real madrid lilifungwa na sergio Ramos baada ya kupokea mpira uliopigwa kwa kichwa na Bale katika dakika ya 15 ambapo Atletico nao awakukubali walizidi kuonesha uchu wa kushinda na atimaye wakafanikiwa kurudisha goli hilo katika dakika ya79 kupitia kwa mchezaji wao Carrasco
Real Madrid (4-3-3): Navas; Carvajal (Danilo 51), Ramos, Pepe, Marcelo; Casemiro, Kroos (Isco 72), Modric; Bale, Ronaldo, Benzema (Lucas 76).
Subs not used: Nacho, Rodriguez, Casilla, Jese
Goal: Ramos 15
Booked: Carvajal, Navas, Casemiro, Ramos, Danilo
Atletico Madrid (4-4-2): Oblak; Juanfran, Savic, Godin, Filipe Luis (Gomez 109); Saul, Gabi, Augusto (Carrasco 46), Koke (Thomas 116); Griezmann, Torres.
Subs not used: Moya, Mendes, Correa, Gimenez
Goal: Carrasco 79
Booked: Torres, Gabi
Referee: Mark Clattenburg
C.Ronaldo akishangilia goli lake lililo ipa ushindi Real madrid katika penati ya mwisho |
Keylor Navas kipa wa Real Madrid akifuata penati iliopigwa na Juanfran |
Juanfran |
Carrasco akishangilia goli alilosawazisha katika dakika ya 79 |
Ramos akishangilia goli la kwanza alilofunga katka dakika ya 15 |
Antoine Griezmann akikosa penati waliopata katika ya mchezo |
Alicia Keys akitoa burudani kabla ya mechi ndani ya dimba la milano. |
Zinadine Zidane
Diego Simeone |
No comments:
Post a Comment