Tuesday 17 January 2017

Humphrey Polepoleb afunguka amtaja anayechonganisha Serikali.

Image result for Humphrey Polepole
Humphrey Polepole amesema hayo leo na kutoa wito kwa wananchi na kuwataka wawapuuze wanasiasa wanaotumia matatizo na majanga kuwa mtaji wao kisiasa kwani serikali ipo kwa ajili ya kuwahudumia.

"Wanasiasa wa vyama ambavyo si CCM wamekuwa na juhudi kubwa kufanya uchonganishi na kuifitinisha serikali na wananchi, tunatoa wito kwa wananchi kuwapuuza wanasiasa wanaotumia matatizo na majanga kuwa mtaji wao kisiasa, Serikali ipo ili kuwahudumia. 
Siasa yetu ni ya Ujamaa na Kujitegemea, tutaendelea kuhimiza Watanzania kujitegemea na kuongeza juhudi katika kazi" alisema Humphrey Polepole
Aidha amesema mageuzi makubwa yanayoendelea ndani ya CCM yanalenga kukiimairisha Chama kuisimamia Serikali na kushughulikia matatizo ya watu

No comments:

Post a Comment