Saturday 7 October 2017

Hatimaye Mahakama yamaliza kesi ya Yusuf Manji kwa maamuzi haya.

Image result for Yusuf Manji mahakama
Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu jijini Dar es Salaam imemuachia huru Yusuf Manji.

Manji aliyekuwa mwenyekiti wa Yanga, ameshinda kesi ya tuhuma za kutumia madawa ya kulevya.




Manji amefanikiwa kuibuka na ushindi wa kesi hiyo kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu jijini Dar es Salaam, leo.

Wiki iliyopita, mashahidi upande wa Manji walitoa ushahidi wakiwemo madaktari waliokuwa wakimtibu na leo ilikuwa ikisubiriwa siku ya hukumu.

No comments:

Post a Comment