Monday 16 April 2018

Ghana:Rais Magufuli ashinda Tuzo ya Uongozi Bora 2017/18.


Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ameshinda tuzo ya Uongozi Bora katika tuzo za 'Africa Prestigious Award' kwa mwaka 2017/18.


Ushindi huu ulitangazwa Jumamosi Aprili 14, 2018 jijini Accra, Ghana


Tuzo hiyo inawatambua Waafrika waliofanikiwa kwa kiasi kikubwa katika uongozi wao na Viongozi bora wajao katika bara la Afrika na viongozi waliofanya kazi kubwa kubadili maisha ya wananchi kwa kukuza uchumi.

No comments:

Post a Comment