Saturday 7 April 2018

Tetesi zote za soka kutoka barani Ulaya.

Image result for Willian to man united
Manchester United wanahakika ya kumsajili kiungo kutoka Brazil, Willian kwa paundi milioni 30,wakati kiungo Mhispania Juan Mata anatarajiwa kuondoka Old Trafford (Sun)

Kiungo wa Liverpool, Muingereza James Milner amesema hata katisha ustaafu wake kutoka mechi za kimataifa. (Times)
Mick McCarthyHaki miliki ya picha
Image captionMick McCarthy
West Brom hawana mipango ya kumteua mkuu wa Ipswich, Mick McCarthy kama meneja wao baada ya kuondoka kwa Alan Pardew wiki iliyopita.(Express and Star)
Aliyekuwa mshambulizi wa Liverpool atakuwa meneje wa timu ya Feynoord ya chini ya miaka 19 msimu ujao. (mtandao wa Feynoord)
Emre CanHaki miliki ya picha
Image captionEmre Can
Kiungo wa Liverpool na Ujerumani Emre Can, 24, aweza kosa kucheza katika mdimu uliobakia na hata kombe la dunia kwa sababu ya tatizo la mgongo (Mirror)
Qatar itashiriki kama nchi mualikwa katika michuano ya Copa America 2019 (Globo Esporte)
Chris Coleman endured a frustrating afternoon on his return to the Cardiff City Stadium as his Sunderland side lost 4-0Haki miliki ya picha
Image captionChris Coleman endured a frustrating afternoon on his return to the Cardiff City Stadium as his Sunderland side lost 4-0
Chris Coleman anasema atabaki kama meneja wa Sunderland hata kama Black Cats wakishushwa na kuwekwa League One. (Mail)
Msahmbulizi wa Watford Richarlison, 20, amehakikishwa nafasi yake katika Vicarage Road hata baada ya kuachwa kwa kushindwa kufunga goli yoyote katika michezo 21.(Mirror)
Thomas TuchelHaki miliki ya picha
Image captionThomas Tuchel
Aliyekuwa Menejwa wa Dortmund Thomas Tuchel atachukua nafasi ya Unai Emery kama mkuu wa Paris St-Germain kwenye msimu ujao. (ESPN)
Mshambulizi wa Stoke, Saido Berahino, 24, ametolewa kutoka kundi la kwanza kwenye timu baada ya kutokea akiwa amechelewa kwenye mechi ya chini ya miaka 23, siku ya Jumatatu (Telegraph)

No comments:

Post a Comment