Tuesday 17 April 2018

Utaratibu ulitolewa na Jeshi la Polisi ili kupata ajira zilizotangazwa.

Image result for Jeshi la Polisi nchini
Jeshi la Polisi nchini linatangaza nafasi za ajira kwa mwaka 2017/2018 kwa vijana waliopita mafunzo ya JKT/JKU ambao wamemaliza mafunzo ya awali katika operesehi Kikwete na Operesheni Magufuli wenye elimu ya kidato cha nne, cha sita, astashahada, stashahada, shahada ya juu.


No comments:

Post a Comment