Jana katika kituo cha Radio cha Clouds fm kulikuwa na mahojiano maaalum kati ya diamond platnamz na kipindi cha Burudani cha XXL ambapo yalizungumzwa mambo mbali mbali kuhusu mziki wa diamond na maisha yake kwa ujumla ambapo diamond alizungumza mambo mengi sana kuhusu yeye,Muziki na mahusiano yake na wasanii kama Ommy Dimpoz na Alikiba.
Lakini jana hiyo hiyo msanii Ommy dimpoz katika ukurasa wake wa Twitter aliandika haya.
kwa maana ya kukanusa yale yaliohongelewa na Diamond katika mahojiano yake .
Leo Novemba 24 katika kituo cha Radio cha Clouds Fm kulikuwa pia na mahojiano kati ya msanii Ommy Dimpoz na kipindi cha burudani cha XXL pia msanii huyu alizungumza mengi sana kuhusu mziki na ukweli wa yale yote yaliozungumzwa na Diamond katika siku ya jana,na chanzo kutoelewana yeye na diamond ambapo hapo awali walionekana kama ni maswahiba wakubwa sana.
Baada ya mahojihano hayo kufanyika kati ya Ommy Dimpoz na XXL Miss Tanzania wa mwaka 2006 Wema Sepetu katika ukurasa wake wa Instagram aliposti hiki hapa.
Diamond Platnamz katika ukurasa wake wa Instagram hii leo naye aliandika haya baada ya mahojiano ya Ommy Dimpoz kumalizika.
USISAHAU KULIKE NA KU-SHARE NA KU-LIKE PAGE YETU FACEBOOK TIKISA MEDIA KUFOLLOW TWITTER @TIKISA MEDIA NA INSTAGRAM TIKISA ENTERTAINMENT MEDIA ILI HABARI ZOTE KUBWA ZIKUFIKIE HAPO ULIPO.ASANTE
No comments:
Post a Comment