Friday 25 November 2016

VIDEO:Ugomvi wa Ommy Dimpoz na Diamond Platnamz waendelea tazama alichokisema Ommy dimpoz kuhusu wimbo wa NASEMA NAWE.

Novemba 24 katika kituo cha Radio cha Clouds Fm kulikuwa  na mahojiano maalum kati ya msanii Ommy Dimpoz na kipindi cha burudani cha XXL mahojiano ambayo yalihusu   mziki wa Ommy Dimpoz na ukweli wa yale yote yaliozungumzwa na Diamond katika siku ya juzi.





kuhusu  chanzo kutoelewana yeye na Ommy Dimpoz tofauti na hapo  awali ambapo waliwi hao walionekana kama ni maswahiba wakubwa sana.

Katika mahojiano ya jana Ommy Dimpo alizungumza mengi sana kuhusu ukweli wa mambo hayo 
"Kuna watu wana nitukana sana mimi kuhusu D
Lakini watu awajui tumetoka wapi mimi na D Wimbo wa Nasema Nawe wa D kuna vesi niliandika sasa  hilo watu awajui wao unisema  wakisema angalia mwenzako katoa wimbo huu wewe kikowapi kitu ambacho awajui kuwa huo wimbo nami nilichangia katika kuandika" Ommy Dimpoz

Tazama hapa kumsikiliza 





USISAHAU KULIKE NA KU-SHARE NA KU-LIKE PAGE YETU FACEBOOK TIKISA MEDIA KUFOLLOW TWITTER @TIKISA MEDIA NA INSTAGRAM TIKISA ENTERTAINMENT MEDIA ILI HABARI ZOTE KUBWA ZIKUFIKIE HAPO ULIPO.ASANTE




                                SUBSCRIBE ON YOUTUBE 
                                          
                                                TIKISA TV

No comments:

Post a Comment