Duniani kuna maajabu mengi sana mengine ya shangaza ,kufurahisha ,kuelimisha na muda mwingine kuchekesha utalii ni moja ya mambo makubwa na yanayotengemewa na nchi nyingi duniani katika kukuza pato la taifa na kupitia watalii mbalimbali wanaokuwa wanafika kwa ajili ya huduma hiyo.mara nyingi tumezoea kuona utalii asilia ambao mara nyingi utalii huo umekuwa ni baraka za mwenyezi mungu kama ilivyo kwa baadhi ya nchi kama Tanzania kwa hifadhi ya mikumi ,serengeti manyara ,ngorongoro na mlima kilimanjaro.
Je wajua kuwa hapa duniani kuna baadhi ya nchi ambazo zimeweza kufikiri mbali zaidi katika kutengeneza vivutio vya kitalii ilikuweza kupata watalii wengi zaidi kutoka nchi mbalimbali duniani kwa kujenga majiji ya kitalii kwa ajili ya watalii kutalii......? Wa swahili unena ugumu wa maisha unafanya akili hiongezeke.....Naam hapana shaka ni sahihi kabisa .. miji hiyo iliojengwa kwa ajili ya utalii hii ni kutokana na uhaba wa hifadhi asilia nchini mwao. Wafahamu kwamba nchi ya Las vergas,Dubai,cancun ya mexico ni moja kati ya nchi ambazo zimetengeneza utalii faki usio asilia ambao umetoke kupendwa na watalii wengi zaidi duniani. Vivutio hivyo ambavyo vimejumuhisha hotel zenye hadhi ya nyota Tano,hospital,viwanja vya michezo na kila aina ya burudani iliyopo hapa duniani
Yawezakuwa wajua lakini Mshuka.blogsport.com tunakupa nafasi ya kufahamu zaidi tazama picha hizi za nchi ambazo zimefanikiwa kiutalii kwa kuwa na vivutio vya kutengeneza visivyo asilia vilivyo gharamikiwa zaidi ya 4.5 billion euro (£3billion)
Benidorm(SPANISH)
Cancun, Mexico
Miaka 45 iliyopita sehemu kubwa ya maeneo ya mexico kulikuwa hana kitu zaidi ya mchanga,
Thames Town, China
Thames Town ya China ilighalimu £500million katika ujenzi wake na kukamilika mwaka 2006
Thames Town ya China ilighalimu £500million katika ujenzi wake na kukamilika mwaka 2006
Dubai, UAE
Miaka 30 iliopita 90% ya Dubai ilikuwa ni jangwa lakin kuanzia 2013, na imekuwa moja kati ya miji mashuhuri duniani na inayopendwa kutembelewa duniani.
Baiae, Italy
Las Vegas, USA
No comments:
Post a Comment