Tume ya taifa ya uchaguzi chini ya mwenyekiti wake Jaji Mstaafu Damiani Lubuva yaendelea kutangaza matokeo halisi ya uchaguzi wa uraisi kutoka katika majimbo mbalimbali Tanzania bara pamoja na Zanzibar mpaka sasa Tume imefanikiwa kutangaza majimbo 63 kati ya majimbo yote ya uchaguzi 264 .mshuka.blogspot.com inakupatia nafasi ya kufafahamu matokeo hayo popote pale ulipo....
Matokeo ya uchaguzi jimbo la PERAMIHO mkoa wa RUVUMA
Matokeo ya uchaguzi jimbo la NANYAMBA mkoa wa MTWARA
Matokeo ya uchaguzi jimbo la MOSHI MJINI mkoa wa KILIMANJARO
Matokeo ya uchaguzi jimbo la MKINGA mkoa wa TANGA
Matokeo ya uchaguzi jimbo la KISARAWE mkoa wa PWANI
Wapiga kura walioandikishwa 58,462Waliopiga kura 38,012 : 65.02% ya walio jiandikisha
Kura halali 38,012 : 65.02% ya waliopiga kura
Kura zilizokataliwa - : 0.00% ya waliopiga kura
JINA LA MGOMBEA | JINSIA | CHAMA | KURA ALIZOPATA | ASILIMIA | MAELEZO | |
1 | ANNA ELISHA MGHWIRA | KE | ACT | 235 | 0.62% | Ya kura halali |
2 | CHIEF LUTALOSA YEMBA | ME | ADC | 190 | 0.50% | Ya kura halali |
3 | DKT. MAGUFULI JOHN POMBE JOSEPH | ME | CCM | 24,086 | 63.36% | Ya kura halali |
4 | LOWASA EDWARD NGOYAI | ME | CHADEMA | 13,093 | 34.44% | Ya kura halali |
5 | HASHIM RUNGWE SPUNDA | ME | CHAUMA | 314 | 0.83% | Ya kura halali |
6 | KASAMBALA JANKEN MALIK | ME | NRA | 26 | 0.07% | Ya kura halali |
7 | LYIMO MACMILLAN ELIFATIO | ME | TLP | 22 | 0. 06% | Ya kura halali |
8 | DOVUTWA FAHMI NASORO | ME | UPDP | 46 | 0.12% | Ya kura halali |
No comments:
Post a Comment