Monday 26 October 2015

MATOKEO YA UCHAGUZI YA AWALI KWA BAADHI YA MAENEO


LEO


Matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015 yameanza kutangazwa ambapo matokeo ya kwanza yametangazwa na Mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi Jaji Damian Lubuva saa nne na robo asubuhi ya October 26 2015, unaweza kuyasoma matokeo hapa chini pia ukasikiliza audio ambayo iko chini kabisa.
 

 Matokeo ya awali
Makunduchi Kusini Unguja: ACT 22, ADC 58, CCM 8406, CHADEMA 1769, CHAUMA 68, NRA 23, TLP 18,
 Mtwara LULINDI: ACT 528, ADC 362, CCM 31603, CHADEMA 11543, CHAUMA 179, NRA 43

.


                                        Ukumbi wa matokeo ya uchaguzi mjini Zanzibar

PAJE-Kusini Unguja >> ACT 36, ADC 21, CCM 6035, CHADEMA 1899, CHAUMA 28, NRA 8,TLP 8

No comments:

Post a Comment