Rais Yoweri Museveni wa Uganda amemteua mkewe Janet Museveni kuwa waziri wa elimu na michezo katika orodha mpya ya baraza la mawaziri alilotangaza.
Wizara hiyo ya elimu na michezo ni moja kati ya wizara kuu nchini humo.
Takwimu zinaonesha kuwa wizara hiyo ya Elimu na michezo hupokea idadi kubwa ya fedha za umma.
Museveni aliyeshinda hatamu yake ya tano mwezi Februari alimhifadhi waziri mkuu Ruhakana Rugunda na makamu wa rais Edward Kiwanuka Ssekandi katika orodha hiyo mpya ya baraza lake la mawaziri.
Aidha rais Museveni alimteua kiongozi na mpinzani wake katika uchaguzi mkuu uliopita Bi Betty Kamya, wa chama cha FDC ambaye ni waziri wa mji mkuu wa Kampala.
Uteuzi mwengine uliowashangaza wachanganuzi wa siasa ni ule wa mbunge wa upinzani bi Betty Amongi, wa chama pinzani cha UPC, ambaye sasa ndiye waziri wa Mashamba na nyumba Lands and Housing.
Museveni mwenye umri wa miaka 71 vilevile alimhifadhi Matia Kasaija na Irene Muloni kama mawaziri wa Fedha na Kawi mtawaliwa.
Museveni alishinda uchaguzi mkuu uliopita na asilimia 60% za kura japo Mpinzani mkuu bwana Kizza Besigye alipinga uchaguzi huo akisema haukuwa wa uhuru wala wa haki.
Bw Besigye yuko rumande akisubiri kufunguliwa mashtaka ya uhaini baada kujiapisha mwenyewe
Tazama hapa listi yote.
H.E. the Vice President ─ HON. KIWANUKA EDWARD SSEKANDI
1. Rt. Hon. Prime Minister ─ DR. RUHAKANA RUGUNDA
2. 1st Deputy Prime Minister & Deputy Leader of Gov’t Business in Parliament─ GEN. MOSES ALI
3. 2nd Deputy Prime Minister and Minister of East African Affairs ─ HON. KIRUNDA KIVEJINJA
4. Minister of Education and Sports ─ HON. MUSEVENI JANET KATAAHA
5. Minister of Public Service ─ HON. MURULI MUKASA
6. Minister of Trade, Industry & Cooperatives ─ HON. KYAMBADDE AMELIA ANNE
7. Minister of Internal Affairs ─ GEN. JEJE ODONGO
8. Minister of Agriculture, Animal Industry & Fisheries ─ HON. SSEMPIJJA VINCENT BAMULANGAKI
9. Minister of Finance and Economic Planning ─ HON. KASAIJA MATIA
10. Minister of Foreign Affairs ─ HON. KUTESSA KAHAMBA SAM
11. Minister of Health ─ DR. ACENG JANE
12. Minister of Works and Transport ─ ENGINEER NTEGE AZUBA
13. Minister of Lands,Housing & Urban Development ─ HON. AMONGI BETTY
14. Minister of Water &Environment ─ HON. CHEPTORIS SAM
15. Minister of Justice & Constitutional Affairs ─ MAJ. GEN.KAHINDA OTAFIIRE
16. Attorney General ─ MR. BYARUHANGA WILLIAM (ADVOCATE)
17. Minister of Defence and Veteran Affairs ─ HON. MWESIGE ADOLF
18. Minister of Local Government ─ HON. BUTIME TOM
19. Minister for Karamoja Affairs ─ HON. BYABAGAMBI JOHN
20. Minister of Energy and Minerals ─ HON. MULONI IRENE
21. Minister of Information, ICT & Communications ─ HON. TUMWEBAZE FRANK
22. Minister for Science, Technology and Innovation ─ DR. TUMWESIGYE ELIODA
23. Minister in Charge of General Duties/Office of the Prime Minister ─ HON. BUSINGYE MARY KAROORO OKURUT
24. Minister of Disaster Preparedness & Refugees ─ HON. ONEK HILARY
25. Minister of Tourism, Wildlife & Antiquities ─ PROF. KAMUNTU EPHRAIM
26. Minister for the Presidency ─ HON. MBAYO ESTHER MBULAKUBUZA
27. Minister of Security ─ LT. GEN. TUMUKUNDE HENRY
28. Minister without Portfolio ─ HAJJI NADDULI
29. Minister for Kampala City Authority ─ HON. KAMYA BETTY
30. Government Chief Whip - HON. NANKABIRWA SENTAMU RUTH
31. Minister of Gender, Labour & Social affairs ─ HON. MUKWAYA JANAT
USISAHAU KULIKE NA KUSHARE PAGE YETU FACEBOOK TIKISA MEDIA KUTU FOLLOW TWITTER @TIKISA MEDIA NA INSTAGRAM TIKISA ENTERTAINMENT MEDIA ILI HABARI ZOTE KUBWA ZIKUFIKIE HAPA ULIPO.ASANTE
No comments:
Post a Comment