Emmanuel Makaidi - April 10, 1941 - October 15, 2015
Mwenyekiti mwenza wa UKAWA, ambaye alikua mwenyekiti wa chama cha NLD,
Emmanuel Makaidi kufariki dunia akiwa hospitalini huko Lindi ambapo taarifa za mwanzo zinasema alikua akisumbuliwa na shinikizo la damu.
Makaid ambaye aliwahi kugombea nafasi ya uraisi mnamo 15 december 2005 na nakufanikiwa kushika nafasi ya saba kati ya wagombea kumi waliogombea na kupata kura kwa 0.19% ya wapiga kura
Hufahamu wasifu wake
Elimu |
Toka | Hadi | Jina la Shule/Chuo | Cheti |
|
1948 |
1952 | Namalenga |
Cheti |
1953 |
1954 | Luatala Middle School |
Cheti |
1953 |
1956 | St. Joseph College |
Cheti |
1957 |
1959 | Luwale |
Cheti |
1973 |
1976 | Witts University |
Bsc. I.Engineering |
1976 |
1978 | Howard University |
PhD. |
|
|
Mafunzo Mengineyo |
Toka | Hadi | Jina la Shule/Chuo | Cheti |
|
1980 |
1980 | - |
Electronic Data Processing |
1981 |
1982 | - |
Management Matrix |
1998 |
1998 | - |
Book Anthorships Documentation |
|
|
Uzoefu |
Toka | Hadi | Jina la Mwajiri | Ngazi/Wazifa |
|
1992 |
2014 | NLD |
Mwenyekiti |
1985 |
1991 | Shirika la Fenmeks |
Mkurugezi Mtendaji |
1982 |
1985 | Serikali |
Afisa Mchambuzi |
1958 |
1981 | Serikali |
Afisa Utumishi Mkuu |
|
|
Burudani |
Kuandika Vitabu
Kujisomea
Michezo
|
No comments:
Post a Comment