Tuesday 3 November 2015

Mourinho kayasema haya kuhusu Chelsea






Kocha wa Club ya Chelsea Jose Mourinho akanusha mgomo wa wawachezaji katika Timu yake na kusema kwamba ni kweli wachezaji  wake wanacheza chini ya kiwango lakini amesema kuwa anafahamu tatizo likowapi na analifanyia kazi ilikurudisha Timu hiyo katika ubora wake.
Mourinho ambaye Timu yake inashikiria nafasi ya 15 katika msimamo wa Ligi kuu nchini uingereza na huku akiwa amepoteza michezo sita.

MSIMAMO
POSLOGO &TEAMPWDLGDPTS
1Manchester CityManchester City118121725
2ArsenalArsenal118121325
3Leicester CityLeicester City11641422
4Manchester UnitedManchester United11632721
5Tottenham HotspurTottenham Hotspur115511020
6West Ham UnitedWest Ham United11623720
7SouthamptonSouthampton11452517
8LiverpoolLiverpool11452017
9EvertonEverton11443416
10Crystal PalaceCrystal Palace11515116
11WatfordWatford11443016
12West Bromwich AlbionWest Bromwich Albion11425-414
13Swansea CitySwansea City11344-313
14Stoke CityStoke City11344-313
15ChelseaChelsea11326-611
16Norwich CityNorwich City11236-89
17BournemouthBournemouth11227-128
18Newcastle UnitedNewcastle United11146-107
19SunderlandSunderland11137-126
20Aston VillaAston Villa11119-104




Chelsea ilimaliza Msimu uliopita na kufanikiwa kuchukua ubingwa kwa  point 87 na hikipoteza michezo mitatu tu.


Chelsea champions Barclays Premier League 2014 - 2015



No comments:

Post a Comment