Baada ya bodi ya Timu ya chelsea kufanya Tathimini ya muendelezo wa matokeo mabovu yanayopatikana na club hiyo na kuamu akumtimua mreno Jose Mourinho ambaye ndio alionekana kama kikwazo cha mafanikio ya timu hiyo ya chelsea kusonga mbele baada ya kupoteza zaidi ya michezo 10 kati ya 17 katika ligi kuu uingereza baadhi ya mashabiki na wapenzi wa chelsea wameonesha hisia zao juu ya kocha Mourinho
Wapenzi hao wameonesha hisia zao katika mechi ya kwanza kwa Timu ya chelsea kucheza bila kocha Jose Mourinho na hizi ndio kauli zao
Shabiki wa chelsea akivaa sura ya Mourinho
Sunday, 20 December 2015
Hizi Ndizo kauli za mashabiki wa chelsea baada ya Jose Mourinho kufukuzwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment