Ushindi wa 3-1 dhidi ya Sunderland umetosha kuthibitisha ile kauli ya mwisho aliyotoa Jose Mourinho alipoulizwa na waandishi wa habari kwa nini Timu ya chelsea haipati matokeo mazuri alipojibu kuwa na kusema {Wachezaji wake wana msaliti wanapokuwa uwanjani ) chelsea imepata ushindi huo ikiwa ni mechi yao ya kwanza bila Jose Mourinho aliyefutwa Alhamisi.
Uwanjani Old Trafford, mambo yamemwendea mrama meneja Louis van Gaal baada ya vijana wake wa Manchester Utd kukabidhiwa kichapo cha 2-1 na Norwich City.
Kwingineko uwanjani Goodison Park, Leicester wameendelea kushangaza ulimwengu wa soka kwa kukwamilia kileleni EPL kwa kulaza Everton 3-2.
United wamo alama tisa nyuma ya Leicester walio kileleni wakiwa na alama 38. Nambari mbili na tatu zinashikiliwa na Arsenal (alama 33) na Manchester City (alama 32), klabu zote mbili zikikutana Jumatatu.
MATOKEO
- Chelsea 3-1 Sunderland
- Everton 2-3 Leicester
- Man Utd 1-2 Norwich
- Southampton 0- 2 Tottenham
- Stoke 1-2 Crystal Palace
- West Brom 1 -2 Bournemouth
Guus Hiddink , Didier Drogba (katikati) na Mmiliki wa Timu wa chelsea Roman Abramovich wakitizama mechi
kikosi cha the blues
Chelsea XI (4-2-3-1):
Courtois 6; Ivanovic 7, Zouma 7, Terry 6.5, Azpilicueta 7; Fabregas 7
(Mikel 71 6), Matic 7; Willian 7.5, Oscar 8.5 (Ramires 82 6), Pedro 8;
Costa 5 (Remy 75 6)
Subs not used: Begovic, Rahman, Cahill, Traore
Scorers: Ivanovic 5, Pedro 13, Oscar 50
Booked: Matic
Sunderland XI (3-4-1-2):
Pantilimon 5; Coates 4 (Johnson 23 6.5), O’Shea 5, Kaboul 5.5; Jones 5,
M’Vila 6.5, Rodwell 6, Van Aanholt 6; Toivonen 6 (Borini 46 7); Watmore
6 (Graham 79 6), Defoe 6
Subs not used: Mannone, Yedlin, Gomez, Fletcher
Scorers: Borini 53
Booked: Pantilimon, Rodwell, O'Shea
Referee: Roger East 6.5
Man of the match: Oscar
Msimamo wa ligi mara baada ya michezo ya leo
kesho jumapili pia kuna baadhi ya meichezo itaendelea
13:30 Watford vs Liverpool
16:00 Swansea vs West Ham
Jumatatu 21 December
- 20:00 Arsenal vs Man City
No comments:
Post a Comment