Ajali iliyotokea leo December 18 2015 maeneo ya Kilolo Iringa ajali ambayo Jeshi la Polisi limethibitisha kuwa watu 12 wamefariki
na wengine 18 kujeruhiwa, mazingira ya ajali yanaonesha lori la mizigo
lilipoteza mwelekeo na kuligonga basi hilo. Basi hilo la Kampuni ya New Force lilikuwa limetokea Dar es Salaam kuelekea Tunduma, limegongana na lori la mbao lilitoka Njombe kuelekea Dar es Salaam
Friday, 18 December 2015
Ajali mbaya ya basi yatokea Iringa yauwa watu 12 na 18 wajeruhiwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment