Bara la Afrika ni moja kati ya mabara yenye utajiri mkubwa sana hasa katika upande wa Rasirimali kama mafuta ,gesi ,madini bila kusahahu hifadhi nzuri zenye zenye wanyama wa kila aina ambao zimekuwa kivutio kikubwa kwa watalii wengi kuvutika kuja kutembelea nchi za Afrika lakin mbali na vivukio vyote hivyo Bara la Afrika limejaliwa kuwa na wanawake wanzuri wanaovutia sifahamu nchi zinazo hongoza kuwa na wanawake warembo barani Afrika
1.RWANDA
Rwanda ni moja ya nchi zinazopatikana ukanda wa Afrika mashariki wanawake wa kinyaruanda ni moja kati ya wanawake wanaovutia zaidi barani Afrika huku uzuri wao ukibebwa na weusi wao wa asili unaovutia,ukarimu ,sauti zao nzuri,na urefu wa kupagawisha wakitembea ni sawa na Twiga wa nyikani.
2.SOMALIA
Rangi ya chocolate,uzuri wa macho na manywele lain ndefu ya wanawake wa kisomali inawafanya kuwa moja ya wanawake wenye mvuto wa aina ya kutoka barani Afrika
03.ETHIOPIA
Ustaarabu ni ndipo uripo anzia wanawake wa nchii hii sio wazuri barani A frika tu bali na ulimwengu umekuwa ukiwasifia kwa uzuri wao unaoshawishi kutangaza ndoa mapema ,
4.CAPE VERDE ISLAND
5.ANGOLA
06.SOUTH AFRIKA
7.NIGERIA
8.GHANA
9.KENYA
10.TANZANIA
Saturday, 5 December 2015
Hizi ndio Top 10 nchi zenye wanawake warembo zaid Afrika (+picha)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment