Thursday, 28 April 2016

Tazama Athari za mvua jijini Dar es salaam

Wakazi wa jiji la Dar ers salaam wanaiomba Mamlaka za Jiji hilo kuweka mitaro katika maeneo ya barabara za jiji hilo kwani kukosekana kwa mitaro kunasababisha mafuriko hasa kwa wakati huu wa msimu wa mvua.

 Barabara nyingi za jiji zikiwa zimejaa maji kusababisha usumbufu kwa madereva wa vyombo vya moto hasa maeneo ya barabara iendayo nyumba za Serikali , Barabara ya Bagamoyo eneo la Kijitonyama na maeneo ya upanga na daraja la Sarenda.
Wakazi wa jiji la Dar ers salaam wanaiomba Mamlaka za Jiji hilo kuweka mitaro katika maeneo ya barabara za jiji hilo kwani kukosekana kwa mitaro kunasababisha mafuriko hasa kwa wakati huu wa msimu wa mvua.
East aAfrica Radio imeshuhudia barabara nyingi za jiji zikiwa zimejaa maji kusababisha usumbufu kwa madereva wa vyombo vya moto hasa maeneo ya barabara iendayo nyumba za Serikali , Barabara ya Bagamoyo eneo la Kijitonyama na maeneo ya upanga na daraja la Sarenda.
 
Kwa mujibu wa taarifa ya hali ya Hewa nchini mvua bado zitaendelea kunyesha katika maeneo ya Mikoa ya Pwani hivyo juhudi za haraka zisipochukuliwa kunaweza kutokea madhara makubwa zaidi kwa miundombinu.makazi ya watu na vyombo vya usafiri.

No comments:

Post a Comment