Monday 18 April 2016

Uteuzi mwingine wa Raisi Magufuli huu hapa.

 
Rasi John Magufuli amemteua Mathias Chikawe kuwa  balozi  wa Tanzania nchini Japan taarifa  hiyo itatolewa leo tarehe 18.4.2016 na katibu mkuu kiongozi balozi John Kijazi  na kueleza uteuzi huo umeanza april 13 2016.

 
Chikawe aliwahi kuwa mbunge wa Nachingwea 2005 hadi 2015 vile vile katika awamu ya nne alikuwa waziri wa katiba na sheria,Waziri wa nchi ofisi ya Raisi utawala bora na Waziri wa mambo ya ndani.

No comments:

Post a Comment