Friday, 27 May 2016

Hivi ndivyo Jose Mourinho alivyopokelewa Manchester United.

Mourinho's wife Matilde provided a glimpse inside the manager's office, complete with a United shirt
Jose Mourinho amesaini mkataba na klabu ya Manchester United kuwa kocha mpya wa mashetani wekundu hao wa Jiji la Manchester.
The new Manchester United manager posted this image of his contract with the club on Instagram
Mreno huyo aliondoka nyumbani kwake majira ya saa 11 na dakika 50 kwa saa za Afrika Mashariki, jana jioni, na kufanya mazungumzo ya mwisho na Makamu Mkuu Mtendaji wa Manchester United, Ed Woodward , mazungumzo yaliyofanyika, Hotelini London.
Mourinho could be seen holding a United shirt branded with 'Mourinho - 1' on the back in a Vine clip
Mourinho alirejea nyumbani baada ya mazungumzo ya saa moja na nusu, akiwa na makabrasha yake mkononi na chupa ya mvinyo mwekundu, mkataba ukiwa umeshakamilika kuwa kocha mpya wa Manchester United

Jose Mourinho poses with a Manchester United shirt after being confirmed as the club's new manager
A scarf seller poses with a 'Jose Mourinho - United's Special One' scarf outside Old Trafford on Friday
Mourinho will start work immediately as he looks to secure the transfer targets he has identified
Mourinho delighted one fan outside his home by providing the signature on a United home shirt

No comments:

Post a Comment