Real Madrid maarufu kama Los Blancos wataingia kwenye fainali ya Champion league leo jumamosi dhidi ya mahasimu wao wa jiji moja Atletico madrid katika dimba la stadio san siro-milan.
Hizi ni baadhi ya picha za wachezaji wa Real Madrid akijiweza fiti kabla ya mchezo wa leo
Sergio Ramos |
Muigizaji wa amerika Richard Gere akipiga picha ya pamoja na wachezaji ya Real Madrid |
James Rodriguez |
No comments:
Post a Comment