Friday, 15 July 2016

Haya ndio usiyoyajua kuhusu harusi ya Mbunge Zitto kabwe.

Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe jana aliuacha rasmi ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake aliyemvisha pete ya uchumba miezi miwili iliyopita, ndoa na tafrija zote zilifanyika Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment