Wednesday 3 August 2016

Hivi ndivyo Mhe Freeman Mbowe alivyo mtembelea Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.Job Ndugai.

13686601_952272284883746_776817641519985636_n.jpg 

Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe akizungumza jambo na Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai alipomtembelea nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam,baada ya kurejea nchini hivi karibuni kutoka India alipokwenda kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake.

No comments:

Post a Comment