Monday, 3 October 2016

Rais Magufuli afanya uteuzi wa mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Bima la Taifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli,  tarehe 02 Oktoba, 2016 amemteua Bw. Laston Thomas Msongole kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Bima la Taifa (NIC).

Bw. Laston Thomas Msongole anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Dkt. Edmund B. Mndolwa ambaye amemaliza muda wake.

Uteuzi wa Bw. Laston Thomas Msongole umeanza  tarehe 02 Oktoba, 2016.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam

02 Oktoba, 2016

USISAHAU KULIKE NA KU-SHARE NA KU-LIKE PAGE YETU FACEBOOK TIKISA MEDIA KUFOLLOW TWITTER @TIKISA MEDIA NA INSTAGRAM TIKISA ENTERTAINMENT MEDIA ILI HABARI ZOTE KUBWA ZIKUFIKIE HAPO ULIPO.ASANTE

No comments:

Post a Comment