Wednesday, 9 November 2016

HIVI PUNDE:Donald Trump amshinda Hillary Clinton na kuwa Rais wa Marekani kwa idadi hii ya kura.

Matokeo ya uchaguzi mkuu wa kuamua rais wa 45 atakayemrithi Rais Barack Obama mwakani yameendelea kutolewa na kuonesha Donald Trump ashinda kwa kupata majimbo mengi zaidi kama inavyoonesha katika jengwari hapo chini



DONALD TRUMP AKIUTUBIA BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI




USISAHAU KULIKE NA KU-SHARE NA KU-LIKE PAGE YETU FACEBOOK TIKISA MEDIA KUFOLLOW TWITTER @TIKISA MEDIA NA INSTAGRAM TIKISA ENTERTAINMENT MEDIA ILI HABARI ZOTE KUBWA ZIKUFIKIE HAPO ULIPO.ASANTE

                              SUBSCRIBE ON YOUTUBE TIKISA TV

No comments:

Post a Comment