Wednesday 2 November 2016

Hivi ndivyo Rais Magufuli alivyorejea Baada ya Ziara ya Kiserikali ya Siku Mbili Nchini Kenya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitelemka kwenye ndege baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nairobi, Kenya,  alikokuwa katika ziara ya Kiserikali ya siku mbili jana Jumanne Novemba 1, 2016

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan  baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nairobi, Kenya,  alikokuwa katika ziara ya Kiserikali ya siku mbili jana Jumanne Novemba 1, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Ally Hapi  baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nairobi, Kenya,  alikokuwa katika ziara ya Kiserikali ya siku mbili jana Jumanne Novemba 1, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea  na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan  baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nairobi, Kenya,  alikokuwa katika ziara ya Kiserikali ya siku mbili jana Jumanne Novemba 1, 2016

USISAHAU KULIKE NA KU-SHARE NA KU-LIKE PAGE YETU FACEBOOK TIKISA MEDIA KUFOLLOW TWITTER @TIKISA MEDIA NA INSTAGRAM TIKISA ENTERTAINMENT MEDIA ILI HABARI ZOTE KUBWA ZIKUFIKIE HAPO ULIPO.ASANTE

SUBSCRIBE ON YOUTUBE TIKISA TV

No comments:

Post a Comment