Tuesday 1 November 2016

Lowassa, Sumaye watinga bungeni Dodoma na mbinu mpya kwa wabunge wa UKAWA.

Aliyekuwa Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye leo asubuhi wamehudhuria Bungeni ambapo kimeanza kikao cha kwanza cha mkutano wa tano wa Bunge la 11, mjini Dodoma.

Mawaziri hao wastaafu walioihama CCM na kuhamia CHADEMA walikwenda mjini Dodoma kutoa somo kwa wabunge wa UKAWA jinsi ya kukabiliana na wabunge wa CCM wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge.


USISAHAU KULIKE NA KU-SHARE NA KU-LIKE PAGE YETU FACEBOOK TIKISA MEDIA KUFOLLOW TWITTER @TIKISA MEDIA NA INSTAGRAM TIKISA ENTERTAINMENT MEDIA ILI HABARI ZOTE KUBWA ZIKUFIKIE HAPO ULIPO.ASANTE


SUBSCRIBE ON YOUTUBE TIKISA TV

No comments:

Post a Comment