Hatimaye Zari The Bosslady na Diamond wamefanikiwa kumpata prince wa familia aliyekuwa akisubiriwa kwa hamu kubwa. Mtoto huyo amezaliwa saa 10 na 35 Alfajiri kwa saa za Afrika Mashariki, Jumanne, December 6.
Mtoto huyo amezaliwa kwenye hospitali ya NETCARE ya Pretoria nchini Afrika Kusini. Tayari Diamond na Zari wameonesha picha za mtoto huyo japo hawajaweka sura yake na bado hawajasema wamemwita jina gani.
Alichopost Diamond Platnamz baada ya mwanae huyo kuzaliwa .
Naye Zarithebosslady aliposti picha hii na kuandika ujumbe huu
USISAHAU KULIKE NA KU-SHARE NA KU-LIKE PAGE YETU FACEBOOK TIKISA MEDIA KUFOLLOW TWITTER @TIKISA MEDIA NA INSTAGRAM TIKISA ENTERTAINMENT MEDIA ILI HABARI ZOTE KUBWA ZIKUFIKIE HAPO ULIPO.ASANTE
No comments:
Post a Comment