Wednesday 7 December 2016

PICHA:Baada ya agizo la Rais Magufuli kuhusu wamachinga hiki ndio walichoanzakufanya wamachinga wa mwanza.


Jana Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli alitoa agizo kwa watendaji wa Mkoa wa Mwanza kusitisha mara moja zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wadogo Machinga katikati ya mji.
 Baada ya agizo la Rais tayari kwenye eneo la Makoroboi Mwanza machinga wameanza ujenzi wa vibanda kwenye maeneo yao ya biashara

USISAHAU KULIKE NA KU-SHARE NA KU-LIKE PAGE YETU FACEBOOK TIKISA MEDIA KUFOLLOW TWITTER @TIKISA MEDIA NA INSTAGRAM TIKISA ENTERTAINMENT MEDIA ILI HABARI ZOTE KUBWA ZIKUFIKIE HAPO ULIPO.ASANTE



                                SUBSCRIBE ON YOUTUBE 
                                          
                                               TIKISA TV

No comments:

Post a Comment