Tuesday 31 January 2017

Charles Boniface Mkwasa achaguliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Klabu ya yanga.

Image result for Charles Boniface Mkwasa
Charles Boniface Mkwasa achaguliwa kuwa  Katibu Mkuu mpya wa Yanga.

Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga zimeeleza, Mkwasa anachukua nafasi ya Baraka Deusdedit ambaye anashushwa na kuwa bwana fedha.


Mkwasa ambaye aliwahi kuwa kocha msaidizi wa Yanga na baadaye Kocha Mkuu wa timu ya Taifa, Taifa Stars.

No comments:

Post a Comment