Thursday 23 February 2017

Maamuzi ya leo ya mahakama kuhusu kesi iliyofunguliwa na Freeman Mbowe dhidi ya Paul Makonda na Kamshna Sirro.

Mwanasheria wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu ameongea na waandishi wa habari jioni hii  baada ya kutoka Mahakamani  kwenye kesi iliyofunguliwa na Freeman Mbowe dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda  na Kamshna Sirro.

Lissu amesema Amri ya kuzuia Freeman Mbowe asikamatwe na wala kuwekwa kizuizini na Polisi inaendelea isipokua wanaweza kumuita kwa Mahojiano ambapo pia Mahakama itatoa maamuzi Tarehe 2, March  2017.


No comments:

Post a Comment