Tuesday, 27 June 2017

PICHA:Jose Mourinho awasili Ureno tayari kwa mazishi ya baba yake Mzazi

Jose Mourinho is comforted by a friend following his father's passing on Sunday
Kocha Mkuu wa Manchester United, Jose Mourinho ametua Ureno tayari kwa mazishi ya baba yake mzazi.
Mourinho pictured with father Felix, who made over 250 Portuguese league appearances

Jose Manuel Mourinho Felix, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79 baada ya kuugua muda mrefu.



Mazishi yanatarajiwa kuwa leo Mini Setubal na tayari ndugu na jamaa wa familia hiyo wako mjini hapo.

The group attended a church service ahead of Felix's funeral on Tuesday morning
Felix alikuwa mwanasoka na aliwahi kucheza hadi timu ya taifa ya Ureno akiwa kipa.



No comments:

Post a Comment