Taarifa zinaeleza Malinzi amefika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam kuhojiwa akiwa na Katibu Mkuu, Mwesigwa Celestine.
Taarifa za ndani zimeeleza Malinzi na Mwesigwa wamehojiwa kuhusiana na utakatishaji fedha na matumizi mabaya ya ofisi.
Pia kuna taarifa zinaeleza kuwa wanaweza kufikishwa mahakamani leo
No comments:
Post a Comment