Rais Magufuli amteua Luteni Kanali Frederick Felix Milanzi kuwa Kamishna wa Operation wa Mamlaka ya kuzuia na kupambana na dawa za kulevya. Luteni Kanali Frederick Felix Milanzi anachukua nafasi ya Bw. Mihayo Msikela ambaye amerejeshwa Makao Makuu ya Polisi.
No comments:
Post a Comment