Saturday, 12 August 2017

Uteuzi mwingine wa Rais Magufuli aliouteua leo

Image result for John Pombe Magufuli leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 12 Agosti 2017 amefanya uteuzi na kumteua Bw. Bernard Hezron Konga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).

No comments:

Post a Comment