Tuesday 15 August 2017

Yanga yaweka adharani silaha za mashambulizi dhidi ya wapinzani wao Simba.

Image result for NGOMA, AJIBU, TAMBWE
Wachezaji watatu Donald Ngoma, Ibrahim Ajibu na Amissi Tambwe wataanza katika mechi dhidi ya Simba.

Katika mazoezi ya Yanga, Kocha George Lwandamina amekuwa akiwapanga mara kadhaa kuhakikisha watengeneza umoja unaozalisha.

Hali hiyo inaonyesha washambulizi hao watatu wa aina tofauti, wataanza katika mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Simba, wikiendi hii.

Yanga ipo kambini mjini Pemba kujiandaa na mechi hiyo ambayo inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini.

No comments:

Post a Comment