Monday 11 September 2017

Huyu ndiye Jaji mkuu mpya aliye apishwa leo na Rais Magufuli.

Related image
RAIS Dkt. John Magufuli amwapisha Prof. Ibrahim Juma kuwa Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akichukua nafasi ya Jaji Mkuu Mstaafu, Othman Chande.

No comments:

Post a Comment