Thursday 9 November 2017

kiwango cha kodi ilichoshindwa kulipa Hotel ya Blue Pearl kusababisha kufungiwa na Serikali.


Serikali imeifungia Hoteli ya Blue Pearl kwa kushindwa kulipa kodi kiasi cha Billioni 5 na milioni 700 tangu mwaka 2014.


Hoteli ya Blue Pearl ilikuwa ikiendeshwa katika jengo la Ubungo Plaza Ltd inayomilikiwa na mashirika ya Umma ya NSSF, PSPF,  na NIC ambalo ni shirika la bima la taifa

Hata hivyo baada ya kuifungia hotel hiyo kampuni hiyo ya Udalali ya Yono imefuta jina la Blue Pearl Hotel

Muonekano wa Hotel Blue Pearl baada ya kufungiwa na kufutwa jina

No comments:

Post a Comment