Thursday 28 September 2017

Ifahamu rekodi aliyoiweka Carlo Ancelotti Bayern Munich.

Ancelotti arrived back in Munich from Paris on Thursday morning; he was sacked the same day
Carlo Ancelotti amefutwa kazi kuwa kocha wa klabu ya bayern Munich

Kufuatia kichapo cha 3-0 dhidi ya PSG , bodi ya klabu hiyo iliamua kumfuta kazi raia huyo wa Italy ambay alichukua mahala pake Pepe Guardiola msimu uliopita.
Ancelotti mwenye umri wa miaka 58, aliisaidia Bayern kushinda taji la Bundesliga, lakini hawakuweza kufika katika raundi ya muondoano ya kombe la vilabu bingwa pamoja na nusu fainali ya kombe la Ujerumani.
Naibu meneja Willy Sagnol ataiongoza klabu hiyo kwa muda.
Bayern wako katika nafasi ya tatu katika jedwali la ligi , wakiwa alama tatu nyuma ya Borussia Dortmund ,wakiwa wameshinda mara nne.
Champions League Group B 
Matokeo ya mechi za

BAYERN MUNICH  2017-18


Dortmund 2-2 Bayern Munich (Super Cup)

Chemnitzer 0-5 Bayern Munich (German Cup)

Bayern Munich 3-1 Bayer (Bundesliga)

Werder Bremen 0-2 Bayern Munich (Bundesliga)

Bayern Munich 3-0 Anderlecht (Champions League)

Bayern Munich 4-0 Mainz (Bundesliga)

Bayern Munich 2-2 Wolfsburg (Bundesliga)

PSG 3-0 Bayern Munich (Champions League

Msimamo wa Bundesliga 2017



Rekodi kati ya kocha wa zamani Guardiola na Ancelotti wakati wakiifundisha Bayern Munich.


No comments:

Post a Comment