Friday, 1 September 2017

Kauli za Lissu,Zitto,Bashe, kuhusu maamuzi ya mahakama nchini Kenya.

Image result for SUPREME COURT IN KENYA
KUFUATIA Mahakama Kuu nchini Kenya kuyafuta matokeo ya Urais yaliyompa ushindi Uhuru Kenyatta kutokana na kile kilichobainika kuwa uchaguzi huo uligubikwa na dosari nyingi hivyo kuamuru uchaguzi huo urudiwe ndani ya siku 60.


Baadhi ya wanasiasa mashuhuri nchini Tanzania wakiwemo wa upinzani na wa chama Tawala wamefunguka kuhusu uamuzi huo huku wengi wao wakiipongeza mahakama hiyo kwa kutenda haki na kuifuata misingi ya demokrasia.
Baadhi ya wanasiasa hao na kauli zao ni;

No comments:

Post a Comment