Mshambuliaji huyo ameondoka Chelsea baada ya kutofautiana na Kocha Antonie Conte.
Tayari Chelsea na Atletico Madrid zimekubaliana kuhusiana na uhamisho wake wa zaidi ya pauni milioni 50.
Polisi walilazimika kuhakikisha wanamuondoa Costa kwa mashabiki waliokuwa wakitaka kupiga naye picha.
No comments:
Post a Comment