Tuesday, 19 September 2017

Taarifa Rasmi kutoka Serikalini kuhusu kulifungiia Gazeti la Mwanahalisi.

Image result for dk.hassan abasi habari maelezo gazeti la mwanahalisi
Serikali kupitia  Idara ya Habari Maelezo, imelifungia gazeti la kila wiki la MwanaHalisi kwa muda wa miaka miwili kuanzia leo Jumanne, Septemba 19, 2017 likidaiwa kukithiri kuandika habari zinazokiuka maadili ya taaluma hiyo.

No comments:

Post a Comment